Wake zake Sheikh Ali bin Hemed Al-Buhriy

Mmoja ya wake zake Sheikh Ali - Bibi Khadija bint Khamis "Bi Lulu"


Mmoja ya wake zake Sheikh Ali - Bibi Mwanaasiya binti Is-haaq akiwa na wanawe



3 comments:

  1. Ingekuwa vizuri zaidi kama majina ya wana wa al marhum Sheikh Ali waliopo katika picha hizi mbili yangejulikana.Baadhi ya wasomaji wana shauku ya kujua mengi kuhusu maisha yake na walipo wanawe, majina yao, picha zao kama zinapatikana na kadhalika. Je! kuna mtoto yoyote aliyerithi kazi na elimu ya babie ?

    Msomaji mwanafamilia mfuatiliaji.

    ReplyDelete
  2. Picha ya juu, aliyesimama na kushoto kwa picha na miwani ni Sheikh Salim bin Ali, aliyesimama kulia kwa picha ni Sheikh Swaleh bin Ali na laiyekaa na Mwana-Asiya Ishaaq ni Sheikh Muhammad bin Ali.

    Picha ya chini ni Sheikh Zuheri bin Ali na mamiye Asiya Binti Ishaaq

    ReplyDelete
  3. Sh. Hemed Ali amezaliwa na Bi Mwanshamba binti Tambaza wa Kiwavu.

    Hivyo huyo alikuwa ni mke wa kwanza wa Al Marhum Sh. Ali bin Hemed

    Ni mimi mjukuu wa Ali bin Hemed

    ReplyDelete