Sheikh Ali bin Hemed akiwa nyumbani kwake Barabara 13, Tanga

2 comments:

  1. sheikh ali bin hemed bin abdalah na wenziwe kina sheikh toba, sheikh kinero, sheikh ayoub ana wengineo ndio walioipa nuru nchi nzima ya Tanzania kwa hakika nimezaliwa baada ya kufa kwao miaka mingi kupita lakini natamani kama ningewaona wakiwa hai, walahi hata wwangeniambia niwe mfanyakazi wao wa nyumbani bila ya mshahara wa pesa ningafanya kwa mahaba niloyokuwa nayo kwao. mawalii wakubwa wa mungu hawa kila mtu akisikia majina yao leo moyo wake unaingia furaha, na hali washakufa miaka chungu nzima iliyopita. mungu awarehemu inshaalah.

    ReplyDelete
  2. Asalaam Aleykum, vipi hali zenu? ni muda sijaona habari mpya kuendelea katika blog

    ReplyDelete