Mwana wa nduguye Sheikh Ali bin Hemed - Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed Al-Buhriy


Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed bin Abdallah bin Said bin Abdallah bin Mas’uud bin Khelef bin Ali bin Said bin Nassor bin Suleiman Al-Buhriy Al-Hinaiy amepata kuwa Mufti wa Tanzania kwa miongo miwili mpaka wakati wa kifo chake.
.

9 comments:

  1. Ahsante kwa maelezo yako kuhusu Sheikh Ali bin Hemed,babu yangu mzaa baba Al Marhum Sheikh Saidi bin Ali.
    Nimezingatia pia picha ya Al Marhum Sheikh Hemed bin Juma,aliyekuwa Mufti wa Tanzania bara na mwanafunzi mkubwa wa Sheikh Ali, je ! kuna chochote kitu kilichoandikwa kuhusu maisha yake ?

    Khelef Saidi Kibao

    ReplyDelete
  2. Salam Aleykum,
    Je kuna mtu anayejuwa wapi ninaweza kupata mawaidha ya Mufti Hemed bin Juma bin Hemed.

    ReplyDelete
  3. Assalaam. Mawaidha yapo, tafadhali wasiliana na watoto wake Al-Marhum Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed; watoto hao ni Sheikh Mussa bin Hemed (0717 929057) na Sheikh Omar bin (Hemed 0713 226775).

    Karibu sana

    ReplyDelete
  4. Jazaka Allah kula khair, Insha Allah nitawasiliana nao.
    Ahsante Sana

    ReplyDelete
  5. A'alkm,
    kwenye vitabu vingi vya Sheikh Muhammd Kasim Mazrui, aliyekuwa Kadhi Mkuu wa Kenya nimeona amemshirikisha shk Ali bin Hemed,na shk Abdallah Farsiy katka kuhakiki.
    Je shk Ali bin Hemed Albuhri ana kitabu chochote alichotunga?
    Na kama kipo kinaitwaje na naweza kukipataje?

    ReplyDelete
  6. Assalam Alaykum; itakuwa jambo jema yafanyike yafuatayo kama familia ya Sheikh Hemed wanaridhia:
    1. Iandikwe historia ya Sheikh hapo kwa ufupi na iwekwe katika blog
    2. Mawaidha yake yawekwe kwenye YouTube ili yaendelee kutuelimisha wengi

    ReplyDelete
  7. darsa ya sheikh hemed zi wapi ? kama zipo tafadhali zitolewe

    ReplyDelete
  8. darsa ya sheikh hemed zi wapi ? kama zipo tafadhali zitolewe

    ReplyDelete
  9. darsa ya sheikh hemed zi wapi ? kama zipo tafadhali zitolewe

    ReplyDelete