Maulid ya kukutanisha watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe vya Sheikh Ali bin Hemed - anayesoma ni Sheikh Abdallah "Magomeni"


Kila ufikapo mfungo sita, familia ya Sheikh Ali bin Hemed hukutana na kufanya maulid ya kusherekea uzawa wa Mtume Muhammad (SAW), na pia kuchukua fursa hiyo kukutanisha watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe vya Sheikh Ali bin Hemed, kukaa pamoja na kutambuana.


Sehemu ya watoto, wajukuu na vitukuu vya Sheikh Ali bin Hemed


Sheikh Mussa bin Hemed bin Jumaa bin Hemed akiongoza duaa baada ya swala.


Sheikh Khelef bin Said bin Ali bin Hemed akitambulisha nduguze, na watoto wao.


Sheikh Khelef bin Said bin Ali bin Hemed akitambulisha wanawe


Sheikh Mussa bin Hemed bin Jumaa bin Hemed akimtambulisha nduguye na wanawe.


A'ami Masoud bin Ali bin Hemed akitambulisha familia yake


A'ami Nassor bin Ali bin Hemed akitambulishwa akiwa pamoja na familia yake na A'ami Issa


Watoto, wajukuu na wakwe waliooa kwa Al-Marhum Sheikh Muhammad bin Ali bin Hemed


A'ami Issa bin Ali bin Hemed akitambulisha familia yake


Sehemu ya familia ya A'ami Zuheri bin Ali ikijitambulisha.


Familiya Al-Marhum Sheikh Salim bin Ali ikijitambulisha


A'ami Hashil Abdallah Hashil naye akitambulisha familia yake


Vitukuu na Vilembwe vya Al'Marhum Sheikh Hemed bin Ali


Watoto wa Al-Marhum A'ami Kahlan bin Ali wakitambulishwa na A'ami Issa


Watoto wa Al-Marhum A'ami Hemed Muhammad Hemed (Maarufu A'ami Kwame) wakitambulishwa na A'ami Issa.

.

4 comments:

  1. Ah'sante sana kwa maelezo na khabari ulizo andika kuhusu sheikh Ali bin Hemed na hasa picha zake mbili... Na hapa naomaba utujulishe zaid juu ya Asili yake kwa baba na juu ya history ya Kabila lake.

    ReplyDelete
  2. Mimi ni katika wajukuu wa Al Marhum Sheikh Ali bin Hemed. Nimepitia maelezo haya mafupi kuhusu Babu yangu huyu, na ijapokuwa ni machache naona ni mwanzo mzuri wa kumuelewa zaidi kwani sijapata mengine ya uwazi zadi ya haya.
    Shukrani kwako mwandishi ambaye naamini ni mmoja wa wanafamilia wa Maalimu KIBAO

    Khelef Saidi Kibao

    ReplyDelete
  3. Nimefurahi kusoma historia ya familia hii kwani Tumeishi jirani na Sheikh Salim Bin Ali (alizoeleka kwa jina la mzee Kibao hata wanawe walijulikana hivo)na nimecheza na kukuwa na watoto wake wakubwa wa mkewe wa kwanza, kina Asia Kibao (marehemu), Ali Kibao (marehemu), Yusuf Kibao (naskia yuko Mwanza),Batul Kibao.
    Na pia nimemfahamu mkewe wa pili nimefurahi kumwona hapa maana nilikuwa najiuliza mbona familia ya sheikh salim siioni? na hawa watoto hapo niliwaacha wadogo sana sikuweza kuwatambua lakini nimefurahi kuwaona.
    Nashukuru sana.

    ReplyDelete
  4. Mashallah, hii nzuri sana kuwaonyesha watoto wetu wanaoishi mbali wawaone ndugu zao.

    ReplyDelete