Aila yake

Wake zake waliomkalia eda:

  1. Bibi Mwanaasiya bint-Ishaaq

  2. Bibi Khadija bint Khamis (Bibi Lulu)

  3. Bibi Saumu bint Mwin'dadi



    Wake zake kwa ujumla: (Mpangilio usio sahihi)

  1. Bi Mkubwa Swalehe (Bi Mkubwa) - Mama yake Sheikh Said Ali

  2. Bi Akida wa Mnyanjani- Huyu bibi hakuzaa nae na kumuacha na aliolewa tena Mombasa na kumzaaa Sheikh Shariff Athuman - Majengo Mombasa

  3. Asia binti Ishaq (Bi Mwanasia)

  4. Halima bint Salim (Mama yao akina Kibibi, Suleiman na Khelefu)

  5. Fatuma Jumbe (Bi Victoria) - Hakuzaa nae

  6. Mwana Huba (Mama Maasimbu)- alifariki akiwa kwenye treni

  7. Khadija binti Khamis (Bi Lulu)

  8. Fatuma Kiziwa - Mama yake Zaituni bint Ali

  9. Asha binti Suleiman - Mama yake Kahlani

  10. Saumu binti Mwindadi - Hakuzaa nae

  11. Bibi Mweni - Hakuzaa nae

  12. Bi Hindie - Hakuzaa nae

  13. Bi Fatuma Kiziwa

  14. Bi Mwanajumbe - Hakuzaa nae

  15. Bi Halima wa Pangani - Hakuzaa nae

  16. Mama yake Rashid "Makoko" bin Ali wa Kilosa.

  17. Bibi Zania Mohamed Magambo - Hakuzaa nae

  18. Mwana Hawa (Mama yake Mwanaarabu bint Ali)

  19. Bi Fatuma Mbegu - Hakuzaa nae

  20. Bi Mwanahawa binti Nassor Kyamba (Mama yake Mwanahawa)

  21. Alioa pia huko Bweni, Pangani - Jina kamili pia halijaweza kupatikana


Alipata kuwa na watoto 22 (Sio kwa mpangilio maalum)

  1. Said bin Ali - Amezaliwa 1912 - Amefariki 26th February 1988

  2. Hemed bin Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki 8th January 1966

  3. Nassor bin Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  4. Rashid bin Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  5. Abdallah bin Ali - Amezaliwa (1923) - Amefariki (1956)

  6. Mohammed bin Ali - Amezaliwa 27th February 1927 - Amefariki 6th December 1995

  7. Khelef bin Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  8. Swaleh bin Ali - Amezaliwa 1929 - Amefariki March 2005

  9. Salim bin Ali - Amezaliwa 22nd August 1933 - Amefariki 16th January 1999

  10. Suleiman bin Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  11. Masoud bin Ali - Amezaliwa 3rd August 1944

  12. Zuheri bin Ali - Amezaliwa 11th November 1944 - Amefariki 13 September 2015

  13. Nassor bin Ali - Amezaliwa 22nd May 1947

  14. Kahlan bin Ali - Amezaliwa 1st January 1949 - Amefariki (tarehe)

  15. Muhsin bin Ali - Amezaliwa 12th December 1950

  16. Issa bin Ali - Amezaliwa 5th July 1955

  17. Zaitun bint Ali - Amezaliwa (tarehe)

  18. Maasimbu bint Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  19. Kibibi bint Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  20. Zalfa bint Ali - Amezaliwa (tarehe) - Amefariki (tarehe)

  21. Mwanaarabu bint Ali - Amezaliwa 10th August 1945

  22. Madina bint Ali - Amezaliwa 13th June 1953



  • Watoto sita (6) walifariki yeye akiwa hai.

  • Watoto tisa (9) wamefariki baada ya yeye kufariki.

  • Watoto saba (7) bado wako hai (wanne wa kiume na watatu wa kike) - August 2010


Wajukuu na vutukuu vyake itoshe tu kusema kwamba idadi yao ni kubwa. (Updated 1st Oct 2017)

No comments:

Post a Comment