Wanazuoni wenzake na wanafunzi wake

Wanazuoni waliokuwa pamoja na yeye hapa Tanga wakati wake ni:
1. Sheikh Ayub bin Khamis Al-Kamadhy
2. Sheikh Dhikri bin Said
3. Sheikh Kinero
4. Sheikh Toba
5. Sheikh Suleiman wa Petukiza

Wanafunzi wake wakubwa:
Wanafunzi wake ni wengi wa mjini Tanga na waliotoka miji mbalimbali kuja kusoma kwake. Lakini baadhi ya wanafunzi wake wakubwa waliokuwa wakijulikana kwa ilimu yao ni:
1. Sheik Amir bin Jumaa Al-Bimani
2. Sheikh Muhammad bin Ayub Al-Kamadhy
3. Sheikh Suleiman bin Mbwana
4. Sheikh Muhammad bin Dhikri
5. Sheikh Muhammad bin Ali bin Hemed (Mwanawe)
6. Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed (Mwana wa nduguye)

Hawa wote waliotajwa wamefariki, lakini ilimu zao na za Sheikh wao zinaendelea. Alhamdulillah.
..

2 comments: