skip to main |
skip to sidebar
Hajatul-Insaan (Tawhiid - Fiqhi).
Miirathi na Ndoa (Vilitumika Serikalini).
Sherehe ya Qaswida Baanat Suaad.
Sherehe ya Burdai.
Pia alitafsiri Qur'an mpaka suratul Al-an-aam.
Vile vile alitunga kitabu kinachoitwa "Taarifu juu ya Tafsiri ya Kadiani".
Hii ilikuwa ni kusahihisha tafsiri ya Qur'aan iliyotolewa na Makadiani
Alitunga vitabu vya FIQHI kwa ajili ya wanafunzi wa Madrassa.
.
Assalaam aleikum. Vinaweza kupatkana hivyo vitabu tukaviona? Au kuvipata hata kama itakuwa soft copy?
ReplyDelete