Kama ambavyo nilivyoelezea hapo punde, kuhusu Sheikh Masoud Al-Buhriy alivyohama kutoka Oman kuja Pemba, lakini akianzisha makaazi kwanza Mombasa-Kenya. Hii picha ni mitiririko wa familia yake akianzia yeye mwenyewe.
Bonyeza picha- yaani "double click" ili ipate kufunguka kwa ukubwa.
- A'ami Nassor bin Ali mkubwa - Hakuna taarifa kama alioa
- A'ami Rashid bin Ali - Aliwahi kukaa Kilosa. Utafiti juu ya wanawe huko unaendelea
- A'ami Abdallah bin Ali - hakuwahi kuoa
- A'ami Khelef bin Ali- Alifariki akiwa mdogo
- A'ami Suleiman bin Ali - Alifariki akiwa mdogo
- Shangazi Maasimbu binti Ali- Hakuwahi kuzaa ingawa aliwahi kuolewa na Sheikh Amir bin Jumaa Al-Bimani
- Shangazi Kibibi binti Ali- Alifariki akiwa mdogo
- Shangazi Zalfa binti Ali- Alifariki akiwa mdogo
Wasomaji na Wafuatiliaji wa Blog hii, kama kuna maboresho katika chati hii nitashukuru kupata maoni yenu.
.
Sh. Rashid bin Ali aliwahi kukaa Kilosa maarufu akiitwa Rashid Makoko. Alikuwa akifanya kazi Posta.
ReplyDeleteNadhani mwanawe mmoja akiitwa Salome (kwa jina ambalo alipelekwa kwenye zile shule za Kikatoliki)
MA SHA ALLAH
DeleteIN SHA ALLAH
DeleteIN SHA ALLAH
Deleteassalam aleykum ,ndugu zanguni in sha Alla wazima, nimekuwa ni mfatiliaji wa ukoo huu ila ningependa kujua wanawe wengine wa SHEIKH MASU'UUD BIN KHELEF BIN ALI BIN SAID BIN NASSOR BIN SULEIMAN ALBUHRIY
DeleteRashid Ali aliekaa Kilosa watoto wake ni Salme, Zainab (marehemu) na Abbdallah
Deleteassalam aleykum, nimekuwa ni mfuatiliaji wa huu ukoo kwani nami nimekhusu, ningependa kuwajua wanawe wengine sheikh MASU'UD BIN KHELEF BIN ALI BIN SAID BIN NASSOR BIN SULEIMAN ALBUHRIY
ReplyDeleteasaalam aleykum, me naitwa Abdallah Ahmed Hashil mjukuu wa Shemsa mtoto wa Kibao, ningependa kuwajua ndugu zangu, email yangu ni hashil6@hotmail.com shukraan.
Deleteasaalam aleykum, me naitwa Abdallah Ahmed Hashil mjukuu wa Shemsa mtoto wa Kibao, ningependa kuwajua ndugu zangu, email yangu ni hashil6@hotmail.com shukraan.
Delete